Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

yah sometiomes is true mwenyewe manzi wangu akizingua huwa nagomba sana alafu nambembeleza tena ili akae powah mapenz bwana kama mzizi na udongo
 
Ni mtazamo wako tu,lakini wengine wakigombezwa unaweza kuwaletea mshituko wa moyo na baadaye ikawa matatizo
 
Kwenye mahusiano lazima mnakuwa mnagombana na muda mwingine mnafurahia baada ugomvi kuisha

Jamani kwangu mimi, nikiwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu tukaishi kwa muda mrefu na kama binadamu kuna sehemu huwa ninakosea lakini mpenzi hanigombezi au haniulizi makosa niliyofanya,huwa nahisi sipendwi

Mwanaume anapokuwa ananigombeza hadi najikuta nalia,najikuta nahisi kupendwa na mwanaume huyo,na huamini kuwa mwanaume huyo ananipenda

Asiponigombeza huwa nahisi kuna mwanamke mwingine anayempenda tofauti na mimi

Naombeni mnisaidie,ni kwangu tu au kuna wengine hali hiyo huwa inawatokea
Sawa
 
FB_IMG_1725477037021.jpg
 
Back
Top Bottom