Uncle Yoso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 378
- 262
JF imekuwa kwangu ni kama kilevi ambacho huwa kila siku lazima niingie uswahili wanasema kama una mademu zaidi ya wa 4 unauwezekano kila siku ya kupiga mambo.
Mambo yaliyopo humu JF si haba ni zaidi ya kuwa na mpenzi kiuhalisia ndo maana vijana ma single wanajazana tu kwenye group la MMU kila wakati.
Matani, malumbano ya hoja, kejeri, watu wenye misifa, watu wenye IQ zaidi, ma great think ni miongoni mwa watu makini ambao wapo humu JF , sasa basi huwa ikipita siku sijanywa mvinyo wa JF huwa nakosa amani kabisa ya moyo ( nakuwa ukiwa )
Jamii forums raha bhnaaa, japokuwa sio nguli sanaaa humu ila nina miaka mi 4 sasa sio haba.
Sent using Jamii Forums mobile app