Nisipomuona mwanamke yeyote duniani kwa siku nitakufa siku hiyo hiyo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nimeshajipima na kujitambua siwezi kuishi kabisa bila kumuona mwanamke duniani !

Ikitokea hivyo nitakufa instantly hakika.

Women hasa ambao sio bloodline hakika wananiumiza mno.Nakiri udhaifu wangu kwao.

Kifupi naumwa bila ladies.!!!
 
Jitahidi upate tiba haraka kwakuwa kwenye harakati za maisha unaweza kufika mahali hakuna mwanamke hata mmoja wa KUMUONA kwa miezi na miezi

Jr[emoji769]
 
Jitahidi upate tiba haraka kwakuwa kwenye harakati za maisha unaweza kufika mahali hakuna mwanamke hata mmoja wa KUMUONA kwa miezi na miezi

Jr[emoji769]
Sio rahisi mkuu maana hata kifungo Cha maisha isolated cell unauhuru wa kuomba kuletewa msosi na mwanamke Kama tiba ya akili.
 
Nimeshajipima na kujitambua siwezi kuishi kabisa bila kumuona mwanamke duniani !

Ikitokea hivyo nitakufa instantly hakika.

Women hasa ambao sio bloodline hakika wananiumiza mno.Nakiri udhaifu wangu kwao.

Kifupi naumwa bila ladies.!!!
Kuna watu wako jela, Wana miaka mingi hawajamuona mwanamke yeyote, mpaka wanabishana, hivi kati ya maziwa na kichwa kipi kiko mapajani
 
Unaweza ukajihisi una umwa kumbe una matatizo ya kisaikolojia yanayohitaji wataalamu wa tiba ndogo tu wakuweke sawa,jiangalie kama ni kweli itakua umechezewa sehemu,tafuta vituo vya mateja huwa wanatibu tatizo kama hili lilochanganyikana na ujinga fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…