orturoo JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,947 Reaction score 4,876 May 10, 2021 #21 king otaligamba said: Kwakweli yaliyotokea jana ni mambo ya aibu katika ulimwengu wa soka. Daah Click to expand... Brother ile issue ilikua organized ili kuzima yaliyokuwa yanaendelea kwenye serikali yetu hujui nchi yetu inaendeshwa kwa mayukio......hahaha...joking in serious mood
king otaligamba said: Kwakweli yaliyotokea jana ni mambo ya aibu katika ulimwengu wa soka. Daah Click to expand... Brother ile issue ilikua organized ili kuzima yaliyokuwa yanaendelea kwenye serikali yetu hujui nchi yetu inaendeshwa kwa mayukio......hahaha...joking in serious mood
N ndiga JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 605 Reaction score 614 May 10, 2021 #22 Karia na genge lake wameingia mkenge sidhani kama wana ushahidi toka serikalini kutosha kuwasafisha dhidi ya kuvunja sheria walizopewa kuzisimamia.
Karia na genge lake wameingia mkenge sidhani kama wana ushahidi toka serikalini kutosha kuwasafisha dhidi ya kuvunja sheria walizopewa kuzisimamia.
W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 May 10, 2021 #23 Hakuna wa kumpongeza katika hili.