Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

Tukiacha ushabiki kati ya mamelod na wydad nani anacheza soka zuri?
 
Ww una chuki binafs hao wote uliowataja hawana uwezo wa kupishana na mamelod kwenye pitch.

Mamelod wanacheza soka la kisasa kama kina man city unalinganisha na wydad !!

Hao wydad no wachovu tu hawana mpira wowote wa maan ni bora hata raja wanacheza soka zuri kuliko hao wydad.
 
Pumbavu kabisa wewe
 
Mamelody nao leo wakaiga mpira wa waarabu wa kupoteza muda na kweli wameyaweza kabisa maarabu.
 
Nilikwambia mzee mamelodi ni hatari, na hachomoki pale south hata azikili uchi.

Mechi ya fainali inaanza jua kali saa tisa hata man city angefungwa

Simba ilitaka cheza na raja home game saa 10 ila caf wakakataaa

Mamelodi sababu timu ya rais wa caf inacheza mechi saa tisa inakubaliwa.

Hela za zawadi zinarudi mfukoni mwa rais wa caf.. janja janja za simba na Mo.

Hela unatoa mfuko wa huku kisha unaweka mfuko wa huko
 
Mechi ya fainali inaanza jua kali saa tisa hata man city angefungwa

Simba ilitaka cheza na raja home game saa 10 ila caf wakakataaa

Mamelodi sababu timu ya rais wa caf inacheza mechi saa tisa inakubaliwa
Kweli waafrika tumekosa akili. Game huko Ulaya World Cup, League mbalimbali zinapigwa saa 9 na hakuna anayelalamika, unajua El Classico ilopita juzi hapa game inepigwa saa 9 jua kali kabisa pale Catalunya?
 
Niambie fainali gani ya world cup imechezwa saa tisa

Niambie fainali ya mashindano gani ulaya mechi imeanza saa tisa

Weka evidence
 
Kama uliangalia fainali ya kwanza mamelodi alikua anautafuta mpira kwa tochi 😁 wengi wanashabikia mamelodi kwa sababu tu weusi, ila kiuhalisia Waarabu wako mbali sana, na ndio wenye makombe mengi
 
Mamelody nao leo wakaiga mpira wa waarabu wa kupoteza muda na kweli wameyaweza kabisa maarabu.

Wewe una chuki sana na waarabu na uislamu kwa ujumla, haupo kimpira bali ushabiki, chuki na roho mbaya. Badilika
 
Wewe ndio una chuki kwa waarabu na Uisilamu kwa ujumla, mmetoka na chuki zenu huko habari za kimataifa mmehamia na huku, wewe shabikia mamelodi, wengine tupo na waarabu. Tusipangiane
 
Mamelody nao leo wakaiga mpira wa waarabu wa kupoteza muda na kweli wameyaweza kabisa maarabu.

Anaejua anajua tu, waarabu wako mbali, hata kama wameshindwa this season lakini haiondoi uhalisia wao ni bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…