Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

View attachment 2805704
Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi

Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca hawastahili kucheza mashindano ya Afrika, kwa wale wanamichezo na si mashabiki watakua wamenielewa, kwa wale wanaoshabikia kwa kigezo cha uafrika/Rangi, mada hii haiwahusu, wakae pending.

Asilimia kubwa ya watu duniani wanawachukia waarabu, japo sio wote, so kwanini uwachukie!! Wamekosa nini hawa watu!!. kuna msemo unasema, "Mti wenye matunda hupigwa mawe" tukubali tukatae waarabu wanajua mpira, wanajua kuucheza mpira watakavyo, hata uwachukie vipi huwapunguzii chochote, ndio kwanzaa wanapeleka[emoji91][emoji91][emoji91] najua asilimia kubwa ya mashabiki wa huku wapo upande wa Mamelodi, sasa mtu huyu kweli utajadiliananae vipi kwenye suala la mpira!! Ni kupoteza muda tu. Huyo mamelodi ni nguvu ya soda tu, many times hafiki kokote, end of the day anatolewa na mnae mchukia/mwarabu, waliobarikiwa, hawatumii uchawi/ushirikina.

Anaejua anajua tu

Not Racism
Tukemee ubaguzi, chuki, roho mbaya na wivu.

Moderator nawaomba msifute uzi huu, kuna nyuzi hazina vichwa wala miguu na mnaziacha, kuna nyuzi za upande wapili za udini, ubaguzi na chuki lakini mnapita kama hamzioni, sasa kwa leo tu nawaomba muuache uzi huu.
Tukiacha ushabiki kati ya mamelod na wydad nani anacheza soka zuri?
 
Uliangalia game iliyopita ya al ahly?
Uliangalia game ya wydad na mamelodi?

Pia brazil wana maajabu gani kwa sasa? Kila timu na zama zake, kwa sasa Argentina anatamba, unatamani kuwaangalia tu. So kwangu Wydad Casablanca na Raja Casablanca hawana mpinzani, na takribani miaka yote waarabu wanafanya vizuri, huyo mamelodi wako mnaemsifia kila siku anaishia njiani, hakuna timu hapo.
Ww una chuki binafs hao wote uliowataja hawana uwezo wa kupishana na mamelod kwenye pitch.

Mamelod wanacheza soka la kisasa kama kina man city unalinganisha na wydad !!

Hao wydad no wachovu tu hawana mpira wowote wa maan ni bora hata raja wanacheza soka zuri kuliko hao wydad.
 
Pumbavu kabisa wewe
 
Mamelody nao leo wakaiga mpira wa waarabu wa kupoteza muda na kweli wameyaweza kabisa maarabu.
 
Nilikwambia mzee mamelodi ni hatari, na hachomoki pale south hata azikili uchi.

Mechi ya fainali inaanza jua kali saa tisa hata man city angefungwa

Simba ilitaka cheza na raja home game saa 10 ila caf wakakataaa

Mamelodi sababu timu ya rais wa caf inacheza mechi saa tisa inakubaliwa.

Hela za zawadi zinarudi mfukoni mwa rais wa caf.. janja janja za simba na Mo.

Hela unatoa mfuko wa huku kisha unaweka mfuko wa huko
 
Mechi ya fainali inaanza jua kali saa tisa hata man city angefungwa

Simba ilitaka cheza na raja home game saa 10 ila caf wakakataaa

Mamelodi sababu timu ya rais wa caf inacheza mechi saa tisa inakubaliwa
Kweli waafrika tumekosa akili. Game huko Ulaya World Cup, League mbalimbali zinapigwa saa 9 na hakuna anayelalamika, unajua El Classico ilopita juzi hapa game inepigwa saa 9 jua kali kabisa pale Catalunya?
 
Niambie fainali gani ya world cup imechezwa saa tisa

Niambie fainali ya mashindano gani ulaya mechi imeanza saa tisa

Weka evidence
 
Mechi ya fainali inaanza jua kali saa tisa hata man city angefungwa

Simba ilitaka cheza na raja home game saa 10 ila caf wakakataaa

Mamelodi sababu timu ya rais wa caf inacheza mechi saa tisa inakubaliwa.

Hela za zawadi zinarudi mfukoni mwa rais wa caf.. janja janja za simba na Mo.

Hela unatoa mfuko wa huku kisha unaweka mfuko wa huko

Kama uliangalia fainali ya kwanza mamelodi alikua anautafuta mpira kwa tochi 😁 wengi wanashabikia mamelodi kwa sababu tu weusi, ila kiuhalisia Waarabu wako mbali sana, na ndio wenye makombe mengi
 
Mamelody nao leo wakaiga mpira wa waarabu wa kupoteza muda na kweli wameyaweza kabisa maarabu.

Wewe una chuki sana na waarabu na uislamu kwa ujumla, haupo kimpira bali ushabiki, chuki na roho mbaya. Badilika
 
Ww una chuki binafs hao wote uliowataja hawana uwezo wa kupishana na mamelod kwenye pitch.

Mamelod wanacheza soka la kisasa kama kina man city unalinganisha na wydad !!

Hao wydad no wachovu tu hawana mpira wowote wa maan ni bora hata raja wanacheza soka zuri kuliko hao wydad.

Wewe ndio una chuki kwa waarabu na Uisilamu kwa ujumla, mmetoka na chuki zenu huko habari za kimataifa mmehamia na huku, wewe shabikia mamelodi, wengine tupo na waarabu. Tusipangiane
 
Mamelody nao leo wakaiga mpira wa waarabu wa kupoteza muda na kweli wameyaweza kabisa maarabu.

Anaejua anajua tu, waarabu wako mbali, hata kama wameshindwa this season lakini haiondoi uhalisia wao ni bora
 
Back
Top Bottom