Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

Matokea ya fainali unayo lkn !!??
 
Wewe ndio una chuki kwa waarabu na Uisilamu kwa ujumla, mmetoka na chuki zenu huko habari za kimataifa mmehamia na huku, wewe shabikia mamelodi, wengine tupo na waarabu. Tusipangiane
Kwani hapo zilikua zinacheza dini? Wydad kuna wachezaji wakristo na Mamelodi sundowns kuna wachezaji Muslims
 
Kwani hapo zilikua zinacheza dini? Wydad kuna wachezaji wakristo na Mamelodi sundowns kuna wachezaji Muslims

Nani ameleta ubaguzi hapo! Hapa ukionekana unashabikia timu za waarabu kelele nyiingi, lakini ukishabikia za waafrika sio tatizo, tena ukionekana unashabikia timu ya mwarabu unaweza ukatukanwa, sasa hapo nani mbaguzi!!
 
Mfa maji hakosi kutapa tapa, mechi ilianza saa 10:05 jioni.

Endelea kuteseka maana ndiyo maisha uliyojichagulia [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wewe una chuki sana na waarabu na uislamu kwa ujumla, haupo kimpira bali ushabiki, chuki na roho mbaya. Badilika
Mimi sina chuki na waarabu kwani uislamu ni utamaduni wao na mimi haunihusu ila mimi ni mwafrika halisi na ninathamini utamaduni wangu wa kiafrika na ndio maana hata majina ya kigeni siyataki kabisa wanatufanya sisi waafrika majuha tu.

Duniani kote hakuna jamii ya watu wanaohusudu tamaduni za kigeni ila ni waafrika tu ndio tumefanywa misukule na wapagazi wa wageni.
 
Wewe ndio una chuki kwa waarabu na Uisilamu kwa ujumla, mmetoka na chuki zenu huko habari za kimataifa mmehamia na huku, wewe shabikia mamelodi, wengine tupo na waarabu. Tusipangiane
We chizi Me ni muislam alafu niuchukie uislam?
 
Hamna lolote lofa wewe unaelewa maana kucheza ? Unaangaliaga statistics za mechi?
Waydad wanachojua Ni kutumia nafas chache tena za bahati tu haujui mpira wewe endelea kujifunza
 
Hamna lolote lofa wewe unaelewa maana kucheza ? Unaangaliaga statistics za mechi?
Waydad wanachojua Ni kutumia nafas chache tena za bahati tu haujui mpira wewe endelea kujifunza

Nipo na wydad, so tusipangiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…