Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
- Thread starter
- #81
Vipi waarabu Koko wako
Acha ubaguzi kijana, mzungu akikuita kima unalalamika oh nabaguliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi waarabu Koko wako
Walicheza wapi kaangalie statisticsWydad
Matokea ya fainali unayo lkn !!??View attachment 2805704
Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi
Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca hawastahili kucheza mashindano ya Afrika, kwa wale wanamichezo na si mashabiki watakua wamenielewa, kwa wale wanaoshabikia kwa kigezo cha uafrika/Rangi, mada hii haiwahusu, wakae pending.
Asilimia kubwa ya watu duniani wanawachukia waarabu, japo sio wote, so kwanini uwachukie!! Wamekosa nini hawa watu!!. kuna msemo unasema, "Mti wenye matunda hupigwa mawe" tukubali tukatae waarabu wanajua mpira, wanajua kuucheza mpira watakavyo, hata uwachukie vipi huwapunguzii chochote, ndio kwanzaa wanapeleka🔥🔥🔥 najua asilimia kubwa ya mashabiki wa huku wapo upande wa Mamelodi, sasa mtu huyu kweli utajadiliananae vipi kwenye suala la mpira!! Ni kupoteza muda tu. Huyo mamelodi ni nguvu ya soda tu, many times hafiki kokote, end of the day anatolewa na mnae mchukia/mwarabu, waliobarikiwa, hawatumii uchawi/ushirikina.
Anaejua anajua tu
Not Racism
Tukemee ubaguzi, chuki, roho mbaya na wivu.
Kwani hapo zilikua zinacheza dini? Wydad kuna wachezaji wakristo na Mamelodi sundowns kuna wachezaji MuslimsWewe ndio una chuki kwa waarabu na Uisilamu kwa ujumla, mmetoka na chuki zenu huko habari za kimataifa mmehamia na huku, wewe shabikia mamelodi, wengine tupo na waarabu. Tusipangiane
Kwani hapo zilikua zinacheza dini? Wydad kuna wachezaji wakristo na Mamelodi sundowns kuna wachezaji Muslims
Walicheza wapi kaangalie statistics
Mfa maji hakosi kutapa tapa, mechi ilianza saa 10:05 jioni.Mechi ya fainali inaanza jua kali saa tisa hata man city angefungwa
Simba ilitaka cheza na raja home game saa 10 ila caf wakakataaa
Mamelodi sababu timu ya rais wa caf inacheza mechi saa tisa inakubaliwa.
Hela za zawadi zinarudi mfukoni mwa rais wa caf.. janja janja za simba na Mo.
Hela unatoa mfuko wa huku kisha unaweka mfuko wa huko
Mfa maji hakosi kutapa tapa, mechi ilianza saa 10:05 jioni.
Endelea kuteseka maana ndiyo maisha uliyojichagulia [emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mimi sina chuki na waarabu kwani uislamu ni utamaduni wao na mimi haunihusu ila mimi ni mwafrika halisi na ninathamini utamaduni wangu wa kiafrika na ndio maana hata majina ya kigeni siyataki kabisa wanatufanya sisi waafrika majuha tu.Wewe una chuki sana na waarabu na uislamu kwa ujumla, haupo kimpira bali ushabiki, chuki na roho mbaya. Badilika
We ni poyoyo sasa wydad wana mpira gn? Hapa Africa hakuna team inacheza soka labkuvutia kuliko mamelodWydad
We chizi Me ni muislam alafu niuchukie uislam?Wewe ndio una chuki kwa waarabu na Uisilamu kwa ujumla, mmetoka na chuki zenu huko habari za kimataifa mmehamia na huku, wewe shabikia mamelodi, wengine tupo na waarabu. Tusipangiane
We chizi Me ni muislam alafu niuchukie uislam?
We ni poyoyo sasa wydad wana mpira gn? Hapa Africa hakuna team inacheza soka labkuvutia kuliko mamelod
Hamna lolote lofa wewe unaelewa maana kucheza ? Unaangaliaga statistics za mechi?
Waydad wanachojua Ni kutumia nafas chache tena za bahati tu haujui mpira wewe endelea kujifunza