Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

NILIKUWA NAMJIBU ALIYE NSHAUR UDOCTOR HAPO,MA DREAMS SNce nko young ni ku ENGREENER, -CIVIL
Thn that is more than a starting point...just go for it..as long as u love it you will never regrate!! Turn your dreams into reality..and time is now!!
 
Hapo hakuna cha ajira wala nini kila mtu ana bahati yake aliyopangiwa na Mungu,we soma kitu unachopenda na unachoona kuwa utakiweza.
 
alnambia nptie udoctor zen nije kuapply cvl engrng next


Soma tena comment yangu dogo!Nimesema kwa shahada ya uzamili/masters unaweza kuchagua field ya Civil Engineering endapo utakuwa una bachelor ya Environmental Engineering. Soma vizuri post yangu ya kwanza uielewe.
 
Thn that is more than a starting point...just go for it..as long as u love it you will never regrate!! Turn your dreams into reality..and time is now!!

Mwambie huyo.

Mimi ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika fani niipendayo. Hamna kitu raha kama kuwa kwenye fani uipendayo.

Hapa nipo najiandaa kwani fani yangu inataka niwe na Masters. Na baada ya hapo, ninazunguka dunia tu kwani fani yangu ni truly international.

Nakumegea tu dogo raha ya kufanya unachopenda.
 
kaka akishaenda tu kwenye PCB hawezi kuwa civil engineer, either structural, highway(transportation) maana ni mahesabu matupu..hivyo namshauri afanye kile kitu unachokipenda...kazi yoyote ile iwe u engineer ama udactari utafanikiwa japo kwa kiasi fulani ni rahisi kupata maisha mazuri ukiwa engineer..zaidi ya yote fanya unachokipenda...
 
nani kakudanganya kuwa u engineer haulipi?

ni mawazo na ushaur nilopewa na maengineer na wanaosomea uengineer zat kaz shda kupata, zen wakanpa wazo lngne zat n bora diploma zen degree, a level ni kujichosha tu kusiko na maana yoyote,iktokea kudunda a lvle utakuwa umepoteza miaka ming 4 nothng""sasa hapa walnpa ktendawli kgumu sana at kwamba nkasome dploma zen dgree na hk n ktendawil kwangu,bt hata kama cwez kwnda dplma kwanza napnda a level kwnza zen dgree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…