nashy pascal
Senior Member
- May 23, 2013
- 111
- 2
- Thread starter
- #21
nani kakudanganya kuwa u engineer haulipi?
co kwamba haulip,wanasay ajira ni ngumu kupata co sawa na udoctor ambao kaz ni njenje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kakudanganya kuwa u engineer haulipi?
Thn that is more than a starting point...just go for it..as long as u love it you will never regrate!! Turn your dreams into reality..and time is now!!NILIKUWA NAMJIBU ALIYE NSHAUR UDOCTOR HAPO,MA DREAMS SNce nko young ni ku ENGREENER, -CIVIL
umemaliza o level ama a level?
si ntachukuwa mda mwingi mpka kuifikia hyo cvl engrng?
unaharaka sana eenh? Then follow your heart ili mwisho wa siku chochote utakachokipata hautajilaumu.
alnambia nptie udoctor zen nije kuapply cvl engrng next
Thn that is more than a starting point...just go for it..as long as u love it you will never regrate!! Turn your dreams into reality..and time is now!!
kaka akishaenda tu kwenye PCB hawezi kuwa civil engineer, either structural, highway(transportation) maana ni mahesabu matupu..hivyo namshauri afanye kile kitu unachokipenda...kazi yoyote ile iwe u engineer ama udactari utafanikiwa japo kwa kiasi fulani ni rahisi kupata maisha mazuri ukiwa engineer..zaidi ya yote fanya unachokipenda...Nakushauri dogo soma PCB maana still na PCB yako kuna baadhi ya course za Engineering utakuwa unauwezo wa kuzisoma kama Environmental Engineering,Bio-chemical Engineering,Food Processing Engineering etc ingawa hiyo Civil unayoipenda hautaweza kuisoma kwa level ya shahada ya kwanza lakini nafikiri utaweza kuisoma endapo utataka kuifanyia masters kama utakuwa na bachelor ya env engineering.
nani kakudanganya kuwa u engineer haulipi?