Mmmmh dogo yakukutoa hapo ni education tu ili upate mkopo vinginevyo kubal kujilipia uende coz nyngne kwa vyuo visivyojulikana
vp kuhusu tutakao apply diploma?tena tax,co education .kuna dalili ya kupata mkopo ?
Mmmmh dogo yakukutoa hapo ni education tu ili upate mkopo vinginevyo kubal kujilipia uende coz nyngne kwa vyuo visivyojulikana
nenda kazibue vyoo.
Kuna aliyejaribu Kuaaply TCU recently nashindwa it seems wanasema hawana records za matokeo yangu ya form 6, could it be bado hawaja feed matokeo yetu ya form 6 kwenye database zao.
Kaka unaeza soma course yoyote kama una pass ya hesabu olevel. Mi mwenyewe nilikua nasoma EGM nina D E F na S ya GS lakini naenda kuapply IFM sababu ya pass yangu ya hesabu ya olevel.