nisome koz gani nina E flat S gs na bamF HGE???

ham ha

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Posts
283
Reaction score
48
naomben msaada wa koz ya degree kwa E flat hge bam nna F
 
Mmmmh dogo yakukutoa hapo ni education tu ili upate mkopo vinginevyo kubal kujilipia uende coz nyngne kwa vyuo visivyojulikana
 
vp kuhusu tutakao apply diploma?tena tax,co education .kuna dalili ya kupata mkopo ?
 
Nafikiri km unaongelea mikopo ya HESLB hawatoi mkopo kwa watu wa diploma.ni kualkk
 
kama ulikuwa na pas ya math o level unaweza soma biashar baadh ya vyuo.soma tcu guide book.kweny mikopo cjajua
 
Kuna aliyejaribu Kuaaply TCU recently nashindwa it seems wanasema hawana records za matokeo yangu ya form 6, could it be bado hawaja feed matokeo yetu ya form 6 kwenye database zao.

Kaka unaeza soma course yoyote kama una pass ya hesabu olevel. Mi mwenyewe nilikua nasoma EGM nina D E F na S ya GS lakini naenda kuapply IFM sababu ya pass yangu ya hesabu ya olevel.
 
Yap kaka ni kweli mi pia imenitokea hivyo
 
Back
Top Bottom