Jaman magreat thnkers ninaomben msaada wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanpasa kwenda chuo sio form 5 je ni coz gan itakayo kua na ajira hapo badae!
Nko mkoa wa iringa na nnapenda sana kusoma compyuta na kuhusu gharama nadhan ntaziweza ila ningependa kujua coz zitakazo kua na ajira zaidi.
sawa bro tell me moreDogo unapenda computer kusoma na unataka upate ajira haraka sasa mimi kwa ushaur wangu tu fikiria juu ya fani hizi kwa sasa Elimu,Afya na Kilimo na mifugo ukitaka makuu utaishia kuingiza nyimbo kwenye simu na kuchoma CD
Dogo unapenda computer kusoma na unataka upate ajira haraka sasa mimi kwa ushaur wangu tu fikiria juu ya fani hizi kwa sasa Elimu,Afya na Kilimo na mifugo ukitaka makuu utaishia kuingiza nyimbo kwenye simu na kuchoma CD

Xo kla alnfeli alikua hasikilizi wengne inaweza ikawa ni matatizo yanayo harib xaikolijia kama mimi!
Jaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira hapo badae?
Ualimu grade A
Kwa hiyo waalimu wa awali ndio wanakuwa vilaza mwanzo mwisho!!!! Mi nikadhani hawa ndio wanatakiwa wawe vichwa sana maana pale mtoto ndio anapoanzia kupata msingi. Leo nimegundua kumbe watoto wanaanza kuharibiwa mapema sanaaaaaa.alokwambia ualim grade hyo wanachukua point hiyo nan? Labda ualimu wa awali(nursery teacher)
Jaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira hapo badae?
Jaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira hapo badae?
Huo uandishi wako tu ndio maana ulifeli.Inawezekana hata kwenye mtihani uliandika "Xo" badala ya "So".Uandishi huo wa kisharobaro unaboa sana eti "xaikolojia".P****fu sana!