Nisome kozi gani ambayo inaajira kwa baadae?

Watoto wana More Typing Speed kuliko Writing Speed
.
bcz = because
k = ok
.
Very Poor
Kawambwa muanze kutoa mtihani kwenye social network hizi watoto huwa na speed sana, huwezi kuta co = sio kwenye paper ila humu ndo wanajifanya wana speed kweli ya uchapaji
.
 
Nngekushauri vizuri kama ungeweka hayo matokeo.Ila Kwa kifupi division four ya 32 katika kipindi hiki cha BRN unahitaji mbereko ya chuma.Tatizo kipindi mko shule wewe uljiona bwana mkubwa,bingwa wa digitali na kukesha Facebook.
 
mshauri co kumvunja moyo hajauliza kuhusu facebook
 
Watoto wana More Typing Speed kuliko Writing Speed
.
bcz = because
k = ok
.
Very Poor
Kawambwa muanze kutoa mtihani kwenye social network hizi watoto huwa na speed sana, huwezi kuta co = sio kwenye paper ila humu ndo wanajifanya wana speed kweli ya uchapaji
.

Hahahahhahahahah
 
Nngekushauri vizuri kama ungeweka hayo matokeo.Ila Kwa kifupi division four ya 32 katika kipindi hiki cha BRN unahitaji mbereko ya chuma.Tatizo kipindi mko shule wewe uljiona bwana mkubwa,bingwa wa digitali na kukesha Facebook.

Hahahahhahahahahah
 
Back
Top Bottom