Hesabu sana na physics kwa ajili ya kubalance ingawa physics baadae hutokuja kuitumia. Jitahidi kujua hesabu mkuu.
Wadau mimi ni kijana nilikimbia shule nikiwa form one but now naitaj kurudi school november 13th ila nitasoma QT na ndoto yangu ni kuwa Engineer wa electronics zote i mean computer na vifaa vinginevyo vinavyoendana na technology TV's phones consoles etc...
Wasomi ni wengi humu Jamiiforums please naomba ushauli nifuatilie masomo gani, ili nipate njia rahisi ya kutimiza ndoto yangu.
Natanguliza shukrani na mchango wenu ni muhimu kwangu
Ushauri wa uongo huu....
Huwezi kuitenga engineering na physics hata siku moja...

Ndiyo maana nimeomba ushauri ata hivo ninajisikia free kusomea engineering bcoz napenda sana nijihusishe na technologia
Ushauri wa uongo huu....
Huwezi kuitenga engineering na physics hata siku moja...
Asante mkuu mkuu yaan nimefikiria huyu jamaa alimaanisha nin eti PHYSICS hataitumia sasa sijui hizo diode , transist , inductor , capacitor sijui zena diode laser diode ,transfoma atazipata wap
Sio engeneering zote zinahusisha physics,mfano software engeneering.
Physics + maths ni fundamental ya engineering zote kijana hebu acheni ubishi...
Genetic engineering haiitaji uwe na hivo vipindi priority ni Biology na chemistry
Au nayo hiyo sio engineering?
Btw mleta mada ana mpango wa kufanya Electronics na sio Software...