Nisomee master ya nini nina degree ya Baed

Nisomee master ya nini nina degree ya Baed

mwakitopile

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Jamani hivi kama nina degree ya Baed naweza somea masters ya kitu gani ukiacha education kuiyunga tenaa?please naomba mnijibu.
 
Unachouliza hata hukijuhi!
Dogo, unga hiyo uliyonayo ili upate Masters.
 
Wewe umesomea chuo gani Hata ushndwe kujua chakusomea ndo anzie hapo
 
1) Jitambue unapendelea kufanya mambo gani katika maisha yako ya kila siku.
2) Tafuta taaluma inayoendana na mambo unayopendelea kuyafanya ndiyo usomee.
3) Panga mikakati ni nini utafanya baada ya kumaliza masomo yako aidha kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe.
4) Fanya utafiti japo mdogo ili kujiridhisha na kitu unachotaka kufanya hasa gharama, faida na hasara zake.

Mshua!
 
Daaanh yaani hapa tu ndio nachoka na baadhi ya walimu!!!!!!

Munkari,huyu ni mwalimu kweli?????!!!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi kama nina degree ya Baed naweza somea masters ya kitu gani ukiacha education kuiyunga tenaa?please naomba mnijibu.

Ndugu unaweza ukaona km watu wanakujibu harsh ukafikiri hawajari bt ukweli ni kuwa inasikitisha sana mtu umefanya baed na upo chuo bt hujuh usome masters gani...inauzunisha sana ndugu.
Kumbuka leo wapo watoto shule ya msingi na wanajijua watasoma degree gani na masters gani but ww msomi wa chuo kikuu hujuh usome masters gani. Dah haya bwana
Nakushauri km baed yako ni ya masomo ya arts then fanya masters ya education tena. Km baed yako ni ya masomo ya biashara na uchumi unaweza kusoma MBA au other business related courses.
Angalizo. Husije ukajidanganya kusoma MBA wakat kwenye degree yako ya education ulijikita kwenye masomo ya arts. Kumbuka demand of ur masters degree on the labour market depends much in ur first degree.
 
Jamani hivi kama nina degree ya Baed naweza somea masters ya kitu gani ukiacha education kuiyunga tenaa?please naomba mnijibu.
Nini unapenda kwanza then ndio uangalie vyuoni masters hazina complications kama elimu ya undergraduate
 
Jamani hivi kama nina degree ya Baed naweza somea masters ya kitu gani ukiacha education kuiyunga tenaa?please naomba mnijibu.

Unaweza kusoma masters zote unazojisikia. Ila kwa ushauri soma kitu unachotaka kukifanyia kazi whether kuajiriwa au kujiajiri. Ila kwa siku hizi usiweke mawazo yako kuajiriwa maana hata walimu siku hizi wanatakiwa wa Sayansi. Arts wako wengi hata part time kibao ninao hapa na sihitaji kuajiri.
 
Back
Top Bottom