Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Wadau,nina nissan caravan ya petrol inafanya kazi ya usafirishaji.Dereva analalamika inakula mafuta sana.nimepeleka kwa mafundi wamekagua maeneo mengi hawajaweza kubaini tatizo.Wamebadili plugs,wamefumua catalyst na kuweka mabati malaini,lakini bado tatizo lipo palepale