Nissan carava (petrol)inakula mafuta

Nissan carava (petrol)inakula mafuta

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Wadau,nina nissan caravan ya petrol inafanya kazi ya usafirishaji.Dereva analalamika inakula mafuta sana.nimepeleka kwa mafundi wamekagua maeneo mengi hawajaweza kubaini tatizo.Wamebadili plugs,wamefumua catalyst na kuweka mabati malaini,lakini bado tatizo lipo palepale
 
Kabla ya kusema linakunywa mafuta, tizama specification ya hilo gari lita moja linakwenda kilomita ngapi? kisha upime na hivo linavokula ndio useme kama linakunywa mafuta au kawaida yake.

Dereva wako isijekuwa alikua anaendesha vitz au anakupiga bao kwenye mafuta.
 
Sasa ulitaka linywe nn boss??

Gari lenye engine kama hyo n lazma linywe mafuta ya kutoshaaa
 
Kabla ya kusema linakunywa mafuta, tizama specification ya hilo gari lita moja linakwenda kilomita ngapi? kisha upime na hivo linavokula ndio useme kama linakunywa mafuta au kawaida yake.

Dereva wako isijekuwa alikua anaendesha vitz au anakupiga bao kwenye mafuta.
Nimeitumia mwenyewe kama mwezi moja ilikuwa inatumia wastan wa lita moja kwa km 9-10,kwa sasa lita moja inaenda 5
 
Nimeitumia mwenyewe kama mwezi moja ilikuwa inatumia wastan wa lita moja kwa km 9-10,kwa sasa lita moja inaenda 5
Air cleaner imebadilishwa? Halafu nenda katizamishe timing ipo sawa nayo?
 
Ohoo! Mkuu, umeingia choo cha kike. Nina uhakika iyo Caravan yako ina cc3000. Hiyo inatembea lita moja kwa km 6-7 hata iwe mpya umeibandua kwenye makaratasi.
Hapo option ni mbili. Badili ufunge injini ya Diesel au mwambie dereva alete kipande kidogo kati ya 35,000 na 40,000.
 
Nimeitumia mwenyewe kama mwezi moja ilikuwa inatumia wastan wa lita moja kwa km 9-10,kwa sasa lita moja inaenda 5
Kumbuka. Ulipoitumia mwenyewe haikuwa na mzigo kwa hiyo consumption lazima iwe chini. Pili dala dala inasimama kila kituo hivyo matumizi ya gia namba moja na mbili ni makubwa. Ukirudi kuitumia mwenyewe utaona inakunywa vizuri.
 
Ohoo! Mkuu, umeingia choo cha kike. Nina uhakika iyo Caravan yako ina cc3000. Hiyo inatembea lita moja kwa km 6-7 hata iwe mpya umeibandua kwenye makaratasi.
Hapo option ni mbili. Badili ufunge injini ya Diesel au mwambie dereva alete kipande kidogo kati ya 35,000 na 40,000.
Mkuu cc 2400,hilo la kubadili engine inaweza kuwa suluhisho.Engine ya diesal inapatikana wapi?inaweza kuwa na bei gani?
 
Tuanze na bei uliyonunulia! Mnapoona gari 40usd Japan mnachekeleea! Ndo ulinywe sasa
 
Mpigie 0714 050070 ana duka la vifaa vya.magari (zikiwemo injini) karibu na Machinga complex
 
Back
Top Bottom