Nimeitumia mwenyewe kama mwezi moja ilikuwa inatumia wastan wa lita moja kwa km 9-10,kwa sasa lita moja inaenda 5Kabla ya kusema linakunywa mafuta, tizama specification ya hilo gari lita moja linakwenda kilomita ngapi? kisha upime na hivo linavokula ndio useme kama linakunywa mafuta au kawaida yake.
Dereva wako isijekuwa alikua anaendesha vitz au anakupiga bao kwenye mafuta.
Air cleaner imebadilishwa? Halafu nenda katizamishe timing ipo sawa nayo?Nimeitumia mwenyewe kama mwezi moja ilikuwa inatumia wastan wa lita moja kwa km 9-10,kwa sasa lita moja inaenda 5
Kumbuka. Ulipoitumia mwenyewe haikuwa na mzigo kwa hiyo consumption lazima iwe chini. Pili dala dala inasimama kila kituo hivyo matumizi ya gia namba moja na mbili ni makubwa. Ukirudi kuitumia mwenyewe utaona inakunywa vizuri.Nimeitumia mwenyewe kama mwezi moja ilikuwa inatumia wastan wa lita moja kwa km 9-10,kwa sasa lita moja inaenda 5
Mkuu cc 2400,hilo la kubadili engine inaweza kuwa suluhisho.Engine ya diesal inapatikana wapi?inaweza kuwa na bei gani?Ohoo! Mkuu, umeingia choo cha kike. Nina uhakika iyo Caravan yako ina cc3000. Hiyo inatembea lita moja kwa km 6-7 hata iwe mpya umeibandua kwenye makaratasi.
Hapo option ni mbili. Badili ufunge injini ya Diesel au mwambie dereva alete kipande kidogo kati ya 35,000 na 40,000.
Nenda Kariakoo. Unaweza pata.Mkuu cc 2400,hilo la kubadili engine inaweza kuwa suluhisho.Engine ya diesal inapatikana wapi?inaweza kuwa na bei gani?