ni ya mwaka gani?na akuuzia shs. ngapi?Wakuu kuna mzee Mzungu anataka kuniuzia Nissan Cedris cc.2400. Wajuzi wa magari msaada tafadhali kabla sijafanya maamuz
Convertible?Wakuu kuna mzee Mzungu anarudi kwao kakosa work permit. Anataka kuniuzia Nissan Cedris cc.2400 ya mwaka 2001. Wajuzi wa magari msaada tafadhali kabla sijafanya maamuz
Tank ltr 70-75. Mpaka yajae inahitaji kama Tsh laki unusu.Nimeweka mafuta ya 80,000 tsh hayajafika hata nusu
Niunganishe nae naitakaDaah ngoja nilenge VITZ angalau naweza kuimudu
acha ushamba, Subaru sti na mitsubishi evo ina hzo speed180 na watu wanazitumia kwenye mbio za magari! mbio za magari sio kuangalia tu speed kwenye dashboard mwisho ngapi bali kuna mambo mengi! usikaririMbio za magari kwa gari ya speed mwisho 180kph? Ur kidding Bro
Niliipenda sana hiyo gari....kwa ujumla ni very comfortable shida mafundi gonga nyundo wa bongo hawaziwezi nissanHio gari ni tamu sana, inshort ndio Nissan Fuga toleo la nyuma