M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Verossa limekaa kama mkokoteniVyuma..pili hayo magari hayauziki kwa bei ya kurisha ukishalinunua....body yake ikichoka inatepeta kama bamia....zaidi ni six cylinders hivyo consumption yake si rafiki saaana kama hela ni hizi za mshahara wa serikalini awamu hii
Sent using Jamii Forums mobile app