Nissan Cedris Tsh. 4m?

Gari luxury hizi mkuu. Naitafutia safari ya Sumbawanga-mpanda-tabora-mwanza-tarime na kurudi (naondoka jioni).[/QUOTE
Usije pitia njia ya Mpanda -sikonge-Tabora

Hutatoboa Kwa jinsi ilivyo mbovu

Pitia uvinza
 
Spea baadhi zinaingiliana na Nissan Fuga, CEFIRO na Teana. Wese kawaida full tank 170,000/= nilitoka Dar nikajazia mafuta singida kwa nduki alteeza mchumba tu
 
Kuna jamaa humu nimeona anauza Verossa 3.0m na inatembea fresh. Ni vyuma au nini?
Vyuma..pili hayo magari hayauziki kwa bei ya kurisha ukishalinunua....body yake ikichoka inatepeta kama bamia....zaidi ni six cylinders hivyo consumption yake si rafiki saaana kama hela ni hizi za mshahara wa serikalini awamu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…