Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuja kukwambia una wivuWanaoendeshaga hivi tugari wanajionaga kama vile ni akina Lewis Hamiliton
hawakawii, alafu ndiyo vile vijivulana vinavyovaa vikaputula vyenye kubana makalioWanakuja kukwambia una wivu
hii comment ya pili inashakaahawakawii, alafu ndiyo vile vijivulana vinavyovaa vikaputula vyenye kubana makalio
zizani kama ina cc1500 plain bila korokoro lingine la powerni gari nzuri, naona hata kwenye wese inavumilia kidogo
Franckly sijawahi kumwona dereva wa kiume kashuka kwenye hivyo vigari usione nguo yake ya ndani! Sijui vina nini!hawakawii, alafu ndiyo vile vijivulana vinavyovaa vikaputula vyenye kubana makalio
Mbezi beachWapi hupo
Hii gari kuagiza ni 27M... bei yako kali sanaView attachment 2910809
View attachment 2910807
View attachment 2910808
Engine Cc: 2180
Mileage: 83,100km+
Mafuta: Diesel
Rangi: Metalic Black
Bei 34,000,000✅
⚠️Sunroof ⚠️Push to Start ⚠️Leather Seats ⚠️FogLights
Standard Features:
Full Curtain& SRS Airbag
Alloy Wheels
Steering Switches
Leather Upholstery
Sunroof
Cruise Control
Location: Mbezi Beach
Hii gari kuagiza ni 27M... bei yako kali sana
Wacha ramli chonganishi mkuu...Wale wazee wa Toyota ni gari za kishamba....
Akigusa kwingine anatoka ndukiiii na bado mzigo hauuziki. Hii gari probably imeingia Bongo Arround Nov to Dec 2021 leo Dec 2023 miaka 2 baadae bei utakayopewa itakushangaza maaana itakua chini.