General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Ata kilometers 500 nyingi. Kistaarabu ilibidi 200 hadi 300 au kila baada ya 3-4 hours of driving unaweka break ata ya 1 hour. Sio tu kwaajili ya gari, ata kwaajili yako dereva na abiria.Hakuna gari isiyotembea hata Passo ingefika huko... Ila umeifanya gari itembee kwa maumivu baada ya siku mbili tatu ikikuletea shida utambue ni huo ujinga wako wa kuitembeza Non-stop... Ulipaswa uipumzishe tena ikibidi kwa kuizima angalau dk15-20 kila baada ya kilometers 500... Mabasi na malori yanapumzika sembuse hiko Ki Dualis chako...
Wabongo hamjui kuzitumia na kuzitunza gari, zikianza kuharibika mnasingizia wazungu na wajapan bure kwamba gari zao mbovu...
Hakuna gari isiyotembea hata Passo ingefika huko... Ila umeifanya gari itembee kwa maumivu baada ya siku mbili tatu ikikuletea shida utambue ni huo ujinga wako wa kuitembeza Non-stop... Ulipaswa uipumzishe tena ikibidi kwa kuizima angalau dk15-20 kila baada ya kilometers 500... Mabasi na malori yanapumzika sembuse hiko Ki Dualis chako...
Wabongo hamjui kuzitumia na kuzitunza gari, zikianza kuharibika mnasingizia wazungu na wajapan bure kwamba gari zao mbovu...
wataalamu vihande hawana gari wala bajaj wanatoa ushuhuda wa kijiweniAta kilometers 500 nyingi. Kistaarabu ilibidi 200 hadi 300 au kila baada ya 3-4 hours of driving unaweka break ata ya 1 hour. Sio tu kwaajili ya gari, ata kwaajili yako dereva na abiria.
Acha genyewataalamu vihande hawana gari wala bajaj wanatoa ushuhuda wa kijiweni
Anawashwa kijambio huyuAcha genye
Ni route ndefu mno kutembea non stopDuuh Dualis dar to tarime non stop......unachokitafuta utakipata.
Nimependa mwanzo ulivyo anza kushauri,ila nimekupuuza na kukuona huna maana baada ya kuidharau gari yangu nakuita ka Dualis.Hakuna gari isiyotembea hata Passo ingefika huko... Ila umeifanya gari itembee kwa maumivu baada ya siku mbili tatu ikikuletea shida utambue ni huo ujinga wako wa kuitembeza Non-stop... Ulipaswa uipumzishe tena ikibidi kwa kuizima angalau dk15-20 kila baada ya kilometers 500... Mabasi na malori yanapumzika sembuse hiko Ki Dualis chako...
Wabongo hamjui kuzitumia na kuzitunza gari, zikianza kuharibika mnasingizia wazungu na wajapan bure kwamba gari zao mbovu...
Relax mke wangu mtamwataalamu vihande hawana gari wala bajaj wanatoa ushuhuda wa kijiweni
Acheni kumtisha jaman. Non stop haiwezekani maaana humo njian LAZIMA alisimama kula, alisimama kuchimba dawa, alisimama kujaza mafuta, alisimama kwenye vizuizi vya askari nk point yake hakuzima gari kitu ambacho ni kawaida tu wala hakuna madhara. Acheni uswahili na stori za vijiweni. Injini ina mfumo wake wa Upozaji na kama inafanyakazi kiaswa sawa hata siku 3 masaa 72 chombo inatembea tuuuu. Gooogle hapo maximum hours ya Dualis Engine kufanyakazi non stop utapata jibu gani? Kusimama na gari kila baada ya 200km huwa ina lengo la check up ya magurudumu, dereva kujinyoosha nk nk lkn siyo kwamba upumzishe injiniKua makini mkuu usije safari yakurud daslam ukarudi na bus
🤣nakushauri kauzie huko huko
Gari ikiwa na service nzuri haina shidaWakuu zangu nimetembea na Nissan Dualis Mpaka Musoma pasipo kupumzika na kuizima.
Je, vipi kuhusu Gearbox yake kwa Skendo za kufa? Kweli imenifurahisha na imetembea sana.
Mzee faini za tochi ilipiga mara ngapi ila pole na safari kama gari hikuripuka moto hongera.......Wakuu zangu nimetembea na Nissan Dualis Mpaka Musoma pasipo kupumzika na kuizima.
Je, vipi kuhusu Gearbox yake kwa Skendo za kufa? Kweli imenifurahisha na imetembea sana.