Nissan Dualis Imetembea Non Stop Dar to Musoma

Wataalam wangu mje hapa kunipa Somo jinsi ya kuilinda Hii Gari yangu.Bila kuathiri ruti zangu za Dar Arusha na hata huku Tarime.

Maana hii Chuma inatembea balaa.
 
Hakuna gari isiyotembea hata Passo ingefika huko... Ila umeifanya gari itembee kwa maumivu baada ya siku mbili tatu ikikuletea shida utambue ni huo ujinga wako wa kuitembeza Non-stop... Ulipaswa uipumzishe tena ikibidi kwa kuizima angalau dk15-20 kila baada ya kilometers 500... Mabasi na malori yanapumzika sembuse hiko Ki Dualis chako...
Wabongo hamjui kuzitumia na kuzitunza gari, zikianza kuharibika mnasingizia wazungu na wajapan bure kwamba gari zao mbovu...
 
Ata kilometers 500 nyingi. Kistaarabu ilibidi 200 hadi 300 au kila baada ya 3-4 hours of driving unaweka break ata ya 1 hour. Sio tu kwaajili ya gari, ata kwaajili yako dereva na abiria.
 
wataalamu vihande hawana gari wala bajaj wanatoa ushuhuda wa kijiweni
 
Hakuna gari isiyotembea hata Passo ingefika huko... Ila umeifanya gari itembee kwa maumivu baada ya siku mbili tatu ikikuletea shida utambue ni huo ujinga wako wa kuitembeza Non-stop... Ulipaswa uipumzishe tena ikibidi kwa kuizima angalau dk15-20 kila baada ya kilometers 500... Mabasi na malori yanapumzika sembuse hiko Ki Dualis chako...
Wabongo hamjui kuzitumia na kuzitunza gari, zikianza kuharibika mnasingizia wazungu na wajapan bure kwamba gari zao mbovu...
Nimependa mwanzo ulivyo anza kushauri,ila nimekupuuza na kukuona huna maana baada ya kuidharau gari yangu nakuita ka Dualis.
 
Mkuu me nadhani kama mungu amekufikisha salama kwenye iyo safari Yako ...basi ni Jambo la kumshkuru sana ,,ila wakat unataka kurud zako Dar ,,,zingatia sana ushauri wa hawa vijana humu ..usiende bila kuwa na vituo vya kupumzisha gari ,kitahadhari Ya Gari na ww mwenyew ,,Alaf ukifika dar Fanya service kubwa mzee
 
Kua makini mkuu usije safari yakurud daslam ukarudi na bus
Acheni kumtisha jaman. Non stop haiwezekani maaana humo njian LAZIMA alisimama kula, alisimama kuchimba dawa, alisimama kujaza mafuta, alisimama kwenye vizuizi vya askari nk point yake hakuzima gari kitu ambacho ni kawaida tu wala hakuna madhara. Acheni uswahili na stori za vijiweni. Injini ina mfumo wake wa Upozaji na kama inafanyakazi kiaswa sawa hata siku 3 masaa 72 chombo inatembea tuuuu. Gooogle hapo maximum hours ya Dualis Engine kufanyakazi non stop utapata jibu gani? Kusimama na gari kila baada ya 200km huwa ina lengo la check up ya magurudumu, dereva kujinyoosha nk nk lkn siyo kwamba upumzishe injini
 
Wakuu zangu nimetembea na Nissan Dualis Mpaka Musoma pasipo kupumzika na kuizima.

Je, vipi kuhusu Gearbox yake kwa Skendo za kufa? Kweli imenifurahisha na imetembea sana.
Mzee faini za tochi ilipiga mara ngapi ila pole na safari kama gari hikuripuka moto hongera.......
 
Back
Top Bottom