Nissan Dualis Imetembea Non Stop Dar to Musoma

Ukisema nonstop siamini sababu Aina Tanki la mafuta ya kuweza kukufikisha Musoma kutoka Dar bila kusimama na kuongeza.
 
Acha hizo...
Niko nayo huku mkoani, rough road 30km then lami 52km (kwenda na kurudi ni 60km rough na 102km lami) three times a week, na inakaribia mwaka sasa haisumbui chochote!

Hiyo gari ni ngumu tofauti hata na muonekano wake!
We utakuwa unanyata sana sababu unaionea huruma bado piru. Ila ni suala la muda. Utakuja kujua hujui. Mwaka mdogo sana.
 
We utakuwa unanyata sana sababu unaionea huruma bado piru. Ila ni suala la muda. Utakuja kujua hujui. Mwaka mdogo sana.
Gari huko Japan imetumika miaka kadhaa...

Imeupiga mwendo zaidi ya 50,000kms...

Imefika Bongo, umeipokea ina hali nzuri kabisa (tunasema mpyaaa!)...

Hii gari ikikufia au ikianza kusumbua ndani ya muda mfupi USITAFUTE visingizio...

Tatizo itakuwa ni wewe mwenyewe UMESHINDWA KUITUNZA/ KUIHUDUMIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…