Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa unanyata sana sababu unaionea huruma bado piru. Ila ni suala la muda. Utakuja kujua hujui. Mwaka mdogo sana.Acha hizo...
Niko nayo huku mkoani, rough road 30km then lami 52km (kwenda na kurudi ni 60km rough na 102km lami) three times a week, na inakaribia mwaka sasa haisumbui chochote!
Hiyo gari ni ngumu tofauti hata na muonekano wake!
Gari huko Japan imetumika miaka kadhaa...We utakuwa unanyata sana sababu unaionea huruma bado piru. Ila ni suala la muda. Utakuja kujua hujui. Mwaka mdogo sana.