Tebajanga
Member
- Sep 14, 2011
- 74
- 106
Habari wakuu, nina Nissan Dualis ya 2010. Pindi ukikata kona inakuwa inagonga.
Wiki iliyopita nilikagua CV Rubber boot na mojawapo ikawa imekatika. Nikaenda kwa fundi akaisafisha CV joint na kuweka rubber mpya.
Ndani ya siku mbili ule mlio haukuwepo, ila sasa umerudi tena na hakuna rubber iliyokatika.
Shida inaweza ikawa ni nini?