Nissan Dualis inagonga ukikata kona

Nissan Dualis inagonga ukikata kona

@Extrovert nimeshazungumza nae. Tatizo anaogopa sana gharama sasa nimeshamwambia kuwa sisi huku team Nissan, VW, Audi, BMW na Mercedes Benz huwa tuna connections nyingi sana. Hatuwezi kumtazama member mwenzetu anakosa pesa ya services tutamtupia muamala bila shida.

Ni swala la muda tu atahama atakuja tulipo.
Huko lazma nije tu mzee ni swala la muda tu wacha nijimegee national cake kimtindo😝😝😝 soon ntadondokea Munich hapo
 
Back
Top Bottom