kaichecko tena mkuu,unaweza kuta ni stablizer link moja imekatika.Habari wakuu, nina Nissan Dualis ya 2010. Pindi ukikata kona inakuwa inagonga.
Wiki iliyopita nilikagua CV Rubber boot na mojawapo ikawa imekatika. Nikaenda kwa fundi akaisafisha CV joint na kuweka rubber mpya.
Ndani ya siku mbili ule mlio haukuwepo, ila sasa umerudi tena na hakuna rubber iliyokatika.
Shida inaweza ikawa ni nini?
Nitaenda kucheki.kaichecko tena mkuu,unaweza kuta ni stablizer link moja imekatika.
Otherwise vipi general performance ya Duals,unajuta chochote?au unaweza mshauri mwingine anunue?
Mkuu hebu tuwekee gharama za vifaa mbalimbali vya services hapa ili tupate picha ya gharama za vifaa kwa Nissan.Nitaenda kucheki.
Dualis kwa performance ipo fresh na hata comfortability yake ni nzuri. Ipo stable hata kwa speed ya 110+ (Mimi huwa sivuki 120)
Pia ipo juu hata kwa njia ambazo gari nyingine zinapita kwa shida yenyewe inapita. Kwa mimi uendeshaji wangu mafuta inaenda hadi 11km per litre.
Nawashukuru sana wakuu humu JF kwa ushauri wao na niliweza tumia oil husika na imesaidia sana.
Tangia niichukue hili ni tatizo la pili. La kwanza lilikuwa ni bushes.
Nashauri ni gari nzuri kwa kununua.
Frankly hata baadae Mungu akipenda naweza chukua Dualis ya 2nd or 3rd generation.
Mkuu hebu tuwekee gharama za vifaa mbalimbali vya services hapa ili tupate picha ya gharama za vifaa kwa Nissan.
Wheel bearing! Mwambie afungue mguu huko ambako kelele inatokea akuangalizie wheel bearingHabari wakuu, nina Nissan Dualis ya 2010. Pindi ukikata kona inakuwa inagonga.
Wiki iliyopita nilikagua CV Rubber boot na mojawapo ikawa imekatika. Nikaenda kwa fundi akaisafisha CV joint na kuweka rubber mpya.
Ndani ya siku mbili ule mlio haukuwepo, ila sasa umerudi tena na hakuna rubber iliyokatika.
Shida inaweza ikawa ni nini?
😳Shock up moja ni shillingi ngapi mkuu?Headlight moja ni 750,000
Service no 85,000
Oxygen sensor ni 120,000
Tairi ni 150,000
Anyway kila mtu anashauri lake..
Kama mwanzo boot rubber ilikuwa imekati, nina uhakika zaidi ya 90% cv joint imeshakufa...
Endpo ukikata kona ukasika mlio wa kha kha kha kha khaa khaa....hapo cv joint imeshakufa..badilisha.
Kuna watu wamesema bearing...bearing ikifa dalili za mwanzo ungesikia sauti ya kuvuma haswa ukiwa kwenye lami na si rough road...bearing ikifa zaidi tairi linaweza kuwa na play..
Stablizer link zikifa angesikia kelele za kugonga kwenye nyia ya mashimo mashimo au vimawe mawe...na hiyo kugonga ukiwa makini utahisi impact yake mpake kwenye usukani..
Hapo jombaa kabadili tu cv joint.
NAKAZIA.Hapo jombaa kabadili tu cv joint.
Engine oil service nilifanya 120K pamoja na filter na ufundi.Mkuu hebu tuwekee gharama za vifaa mbalimbali vya services hapa ili tupate picha ya gharama za vifaa kwa Nissan.
Mkuu imepiga kwenye mln na kitu hapo ujue 🙄Headlight moja ni 750,000
Service no 85,000
Oxygen sensor ni 120,000
Tairi ni 150,000
Huwa unatumia oil yenye viscosity gani mkuu?Engine oil service nilifanya 120K pamoja na filter na ufundi.
Rubber boot 8K / 10K
Front brake pad 60
Rear brake pad 50
Kuna jamaa anitwa nissandualis_tz yupo vizuri kwa servives na vifaa pia.