Habari ndugu zangu, Nissan Dualis ipo sokoni inaenda kwa Tsh mil 15
Mwaka 2009
CC 1990
Km 90k
Haina kipengele
Location Dar es Salaam-Tabata
Simu ziite ndugu zangu
0752463715
0776363230
Hizi gari watu wanaziogopa ila ni gari nzuri sana. Kitu ambacho nimeona ni changamoto kwake ni kupata TCM ambayo inaendana na namba ya ile uliyotoa maana nadhan mojawapo ya shida ya hizi gari ni kufa tcm module jambo ambalo fundi ambaye si makini atakwambia imekufa gearbox.