Nissan Dualis na Toyota Alex

Nissan Dualis na Toyota Alex

Bei ya Dualis inakimbizana na Subaru Forester XT huko. Unafanishaje na Alexis ambayo ni baby walker.
Heee.... Alecsis ni Bai be Walka Tena?
Basi atupishe ..!

Hishma Ya Gari inatakiwa Kwenda Kazini na Kurudi 'Msimbazi' Usikutoshe...!

Sasa Alecsis Buku ten unaenda Hlf Unarudi hlf Yanabaki Ya Kuendea tena job Kesho yake....We tafuta tu Ya kurudia kesho yake...!
 
Toyota Alex na Nissan dualis kwenye matumizi ya mafuta zinafanana zote Zina 1500cc,ila hiyo Nissan dualis inaizidi advantage Toyota Alex kwa kuwa Dualis Ina four wheel drive,na hiyo ni sifa kubwa sana kwa gari kuwa nayo.
Mmh!
 
Kama kipato chako kwa mwezi ni less than 1m go for alex, ila kama ni abive that mpaka 5m go for dualis na kama ni zaidi ya hapo na ni stable go for prado, kluger au harrier new model
 
Heee.... Alecsis ni Bai be Walka Tena?
Basi atupishe ..!

Hishma Ya Gari inatakiwa Kwenda Kazini na Kurudi 'Msimbazi' Usikutoshe...!

Sasa Alecsis Buku ten unaenda Hlf Unarudi hlf Yanabaki Ya Kuendea tena job Kesho yake....We tafuta tu Ya kurudia kesho yake...!
Alexis ni wenzake na akina starlet, vits, passo, IST. Mtu anakuja fananisha na Nissan Dualis kweli?!
 
Sababu ya demand lakini hamna gari hapo
Duh sijui umeongea kitu gani mkuu. Maana kama kitu kina demand tayari inakupa jibu moja kuwa ni gari nzuri sokoni na imeshakubalika.

Gari ikiwa mbaya ndani ya mwaka tayari utaona wateja wanapunguza mazoea ya kununua na kelele zinakata kuiongelea ila ukiona gari miaka inavyokwenda wamiliki wanaongezekea then jua hiyo gari imeshashika soko na inakubalika sababu inakidhi viwango vya ubora kwa matumizi ya mazingira husika.
 
Nasubiri post yako kulalamikia bei ya spare na kutafuta fundi wa uhakika wa nissan yako
Spare zipo na kwa bahati nzuri kuna kuingiliana na models nyingine za brand ya Nissan.

Kuhusu mafundi kwasasa sio tena changamoto maana wapo wanaotumia diagnosis tools na wewe dereva unatakiwa ujiongeze sio kumuachia fundi 100% atengeneze gari yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa ni model yake aliyotengenezewa na mjapan.
Hiyo ilikuwa ni typing error,Nissan Dualis huwa zina engine yenye 1997cc.
Mimi sina uwezo wa kuagiza gari nitengenezewe design yangu mwenyewe,msije mkaniponza Takukuru wanifuatilie 😁😁😁
 
Duh sijui umeongea kitu gani mkuu. Maana kama kitu kina demand tayari inakupa jibu moja kuwa ni gari nzuri sokoni na imeshakubalika.

Gari ikiwa mbaya ndani ya mwaka tayari utaona wateja wanapunguza mazoea ya kununua na kelele zinakata kuiongelea ila ukiona gari miaka inavyokwenda wamiliki wanaongezekea then jua hiyo gari imeshashika soko na inakubalika sababu inakidhi viwango vya ubora kwa matumizi ya mazingira husika.
kweli mkuu,gari iliyopruvu feria ni passo 900cc.
 
Back
Top Bottom