kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Heee.... Alecsis ni Bai be Walka Tena?Bei ya Dualis inakimbizana na Subaru Forester XT huko. Unafanishaje na Alexis ambayo ni baby walker.
Sababu ya demand lakini hamna gari hapoBei ya Dualis inakimbizana na Subaru Forester XT huko. Unafanishaje na Alexis ambayo ni baby walker.
Mmh!Toyota Alex na Nissan dualis kwenye matumizi ya mafuta zinafanana zote Zina 1500cc,ila hiyo Nissan dualis inaizidi advantage Toyota Alex kwa kuwa Dualis Ina four wheel drive,na hiyo ni sifa kubwa sana kwa gari kuwa nayo.
Vipi mkuu nimekosea?Mmh!
Atakua amekustukia uliposema nissan duals ina ukubwa wa cc 1500..!!!!!Vipi mkuu nimekosea?
Alexis ni wenzake na akina starlet, vits, passo, IST. Mtu anakuja fananisha na Nissan Dualis kweli?!Heee.... Alecsis ni Bai be Walka Tena?
Basi atupishe ..!
Hishma Ya Gari inatakiwa Kwenda Kazini na Kurudi 'Msimbazi' Usikutoshe...!
Sasa Alecsis Buku ten unaenda Hlf Unarudi hlf Yanabaki Ya Kuendea tena job Kesho yake....We tafuta tu Ya kurudia kesho yake...!
Duh sijui umeongea kitu gani mkuu. Maana kama kitu kina demand tayari inakupa jibu moja kuwa ni gari nzuri sokoni na imeshakubalika.Sababu ya demand lakini hamna gari hapo
DUH!!...Ukinunua Nissan Dualis usisahau na note book ya kuhifadhi namba za mafundi. Pia, mfuko wa kuhifadhi dawa zako za Pressure
Spare zipo na kwa bahati nzuri kuna kuingiliana na models nyingine za brand ya Nissan.Nasubiri post yako kulalamikia bei ya spare na kutafuta fundi wa uhakika wa nissan yako
Yaani si kidogo. Umekosea sana.Vipi mkuu nimekosea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa ni model yake aliyotengenezewa na mjapan.Atakua amekustukia uliposema nissan duals ina ukubwa wa cc 1500..!!!!!
Hiyo ilikuwa ni typing error,Nissan Dualis huwa zina engine yenye 1997cc.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa ni model yake aliyotengenezewa na mjapan.
kweli mkuu,gari iliyopruvu feria ni passo 900cc.Duh sijui umeongea kitu gani mkuu. Maana kama kitu kina demand tayari inakupa jibu moja kuwa ni gari nzuri sokoni na imeshakubalika.
Gari ikiwa mbaya ndani ya mwaka tayari utaona wateja wanapunguza mazoea ya kununua na kelele zinakata kuiongelea ila ukiona gari miaka inavyokwenda wamiliki wanaongezekea then jua hiyo gari imeshashika soko na inakubalika sababu inakidhi viwango vya ubora kwa matumizi ya mazingira husika.