Sio hulka. Hata ukimiliki gari miaka 20 ukitoka Toyota ukiingia huko kwa Wajerumani ni ligi mbili tofauti. Kama una hela ya mawazo achana na magsri ya wazungu.Toka mwaka 2012 nanunua magari mkuu napata maoni kama hili lako, awali nilikuwa napata tabu sana na huo msemo au kauli, ila nikaja jua ni hulka zetu wabongo. Hela ni ya mawazo kweli ila naihitaji pia.
Fuel consumption iko juuHabarini za Muda Huu Wana JF
Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo ..
Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
Anaejua In and out ya Benz Class E ile ya kujivua nguo na kubakia empty juu, naomba ABC chache
😃😃 nimekusoma brother, ila pia kuna uzi mwingine nime u search humu wa hilo gari umechangia kwa kina zaidi, nimepata madini. Ila ile gari inatia hamu sanaSio hulka. Hata ukimiliki gari miaka 20 ukitoka Toyota ukiingia huko kwa Wajerumani ni ligi mbili tofauti. Kama una hela ya mawazo achana na magsri ya wazungu.
Mwanzo ulichukulia personal. Nashukuru umenielewa.😃😃 nimekusoma brother, ila pia kuna uzi mwingine nime u search humu wa hilo gari umechangia kwa kina zaidi, nimepata madini. Ila ile gari inatia hamu sana
Fuel consumption iko juu
Spare ziko juu
Risk za kuwaka moto ziko juu
Durability iko chini
Sis ndiyo wabongo banaa kilakitu tunakijua.Kwani Bongo kuna gari gani ya Kijapan haiuzwi? Wabongo kuuza gari ili aongezee anunue ingine ndio kawaida.
Nikitaka kuvuta gari nakucheki mkuu unipe maujuziUnajua nimefikiria ulivosema “ile ya kujivua nguo na kubakia empty juu” nikawa sielewi, nikajua code, kumbe unamaanisha cabriolets aka convertible?
E-Class zake ni expensive, cheki na SLK naonaga cheap.
Unataka mwaka upi exactly?
Umeshawahi kulinganisha na gari gani yenye ukubwa sawa wa mashine mkuu?Dualis inatumia mafuta vizuri sana mkuu
Premio G, Noah na Rav 4 old mkuuUmeshawahi kulinganisha na gari gani yenye ukubwa sawa wa mashine mkuu?
Nissan xtrail old, subaru yenye EJ20Pre
Premio G, Noah na Rav 4 old mkuu
Ukiacha Noah SR40 hizo zote zina consumption ya juu kidogo ndio maana hujaona tofautiPre
Premio G, Noah na Rav 4 old mkuu
Embuu liulizee mkuu utupe majibuuHabarini za Muda Huu Wana JF
Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo ..
Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
Habarini za Muda Huu Wana JF
Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo ..
Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
Haina kwere mkuuNikitaka kuvuta gari nakucheki mkuu unipe maujuzi