Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,192
- 6,384
Mkuu, kuna uzi nilikuquote juzi sijaona reply yako.Haina kwere mkuu
Kuna rafiki yangu ana VW Tiguani ilikuwa ina leakage ya oil ametumia karibu 5M badaye ndio akabahatisha fundi ikakaa sawa.Sio hulka. Hata ukimiliki gari miaka 20 ukitoka Toyota ukiingia huko kwa Wajerumani ni ligi mbili tofauti. Kama una hela ya mawazo achana na magsri ya wazungu.
Nitakua sikuona mkuu.Mkuu, kuna uzi nilikuquote juzi sijaona reply yako.
Nahitaji kununua gari ya kuanzia maisha ya bajeti ndogo ambayo itadumu.
Option ya kwanza nipo nayo ni kuna jamaa anauza Mazda Verisa, nafikiria kama kuna option nyingine nzuri zaidi unitonye.
Ni rough idea tu ilikuja kichwani baada ya kuona kuna jamaa anaiuza Bongo kwa Milioni 12.5.Nitakua sikuona mkuu.
Unanunua kwa mtu au unataka kuagiza? Budget maximum ngapi mfano? Verisa nzuri, maintenance na running cost ndogo, hapo jumlisha na Fit, Toyota je? Suzuki Swift nzuri ila sio reliable level za kina Toyota naHonda
Kwa maelezo yako haya wewe ni mgeni kwenye kumiliki gari, pia kipato chako ni kidogo. Pia unataka ufanye boltNi rough idea tu ilikuja kichwani baada ya kuona kuna jamaa anaiuza Bongo kwa Milioni 12.5.
But napenda ya kuagiza kutoka Japan na bajeti yangu ni Milioni 13. Pia Toyota naona ni nzuri lakini sifahamu ipi itanifaa (unaweza kunijuza kuhusu Toyota ya hiyo bajeti). Na kuhusu Honda je?
Gari ninayohitaji ni ya mizunguko ya mjini na nyumbani ikiwemo kubeba familia pamoja na kuitumia kama Bolt if possible.
Kwa budget ya Mil 13 nashauri Honda Fit Hybrid GP1 2010, 2011 au 2012.Ni rough idea tu ilikuja kichwani baada ya kuona kuna jamaa anaiuza Bongo kwa Milioni 12.5.
But napenda ya kuagiza kutoka Japan na bajeti yangu ni Milioni 13. Pia Toyota naona ni nzuri lakini sifahamu ipi itanifaa (unaweza kunijuza kuhusu Toyota ya hiyo bajeti). Na kuhusu Honda je?
Gari ninayohitaji ni ya mizunguko ya mjini na nyumbani ikiwemo kubeba familia pamoja na kuitumia kama Bolt if possible.
Ni kweli Mkuu, sina uzoefu.Kwa maelezo yako haya wewe ni mgeni kwenye kumiliki gari, pia kipato chako ni kidogo. Pia unataka ufanye bolt
Kwa hiyo hapo gari pekee ya kukufaa ni IST. Ukienda nje ya IST lazima utoe milio
Okay.Kwa budget ya Mil 13 nashauri Honda Fit Hybrid GP1 2010, 2011 au 2012.
Itakufaa kwa Bolt pia kwa ulaji wa mafuta.
Toyota nyingi utapata JP kwa bei nzuri tatizo ushuru utasababisha ije kua bei kali sana. Imagine mfano kupata IST used JP bila mil 18+ haiwezekani
πππππZina hasira za kiarabu sio kihehe. Waarabu wao hasira zao huwa kujilipua Moto.
Cantry unajipakulia minyama hapa. LolMnanunua dualis alafu mnategemea mafundi wa chini ya mwembe. Leteni gereji kwangu muone kama zitasumbua
IST bora ununue kwa mtu, E nzuri kwa 14-15Okay.
Nimekupata, nitaifuatilia hii Honda.
Pia, nitaangalia hiyo option ya kupata IST kwa kuzingatia bajeti inayoongezeka.
Asante kwa ushauri.
Wel noted.IST bora ununue kwa mtu, E nzuri kwa 14-15
Tupe Uzoefu wako Hapa Changamoto zake ni zipi kama Ushawahi MilikiYani Dualis nayo ni gari sasa? ile ni takataka.
Kwenye fuel hapo umetupiga, umewah kutumia duals?Fuel consumption iko juu
Spare ziko juu
Risk za kuwaka moto ziko juu
Durability iko chini
Siku hiizi unashinda kwenye post za magari tuππCantry unajipakulia minyama hapa. Lol
ππππππ
Badoo, ila soon ntasukuma ndinga yangu.Siku hiizi unashinda kwenye post za magari tuππ
Ile vanguard ulichukua au ulighairi?
Kama masihara umetoboa aseeπBadoo, ila soon ntasukuma ndinga yangu.
PESA haitaki kelele, natulia kwenye nyuzi za maana na msingi.
ππππππ
Mpaka nimekuletea uzi huu.. Hizo Dualis zote zinauzwa On the same day.. Kitu ambacho huwesi kukuta kwa IST.. Either dalali mmoja ndio anakuwa nayoZipo Ist nyingi zinauzwa. Zimepatwa na nini? Nyie madogo hamjui magari mnakuja kutusumbua nlidhani una hoja ya maana. Mi nauza BMW utauliza zimepatwa na nini? Au Alphard ?