Nissan Fuga: Naomba kujua ubora wake

Kutumia milion 20 kwa ajili private car si bora ninunue toyota hiace kwa siku iniingizie 60,000.
Acha mawazo mgando hayo! Maisha hayapo hvyo! Hauna tofauti na mtu anaona bora ananunue midosho ya nguo ishirini ya bukubuku kliko nguo moja ya maana ya elf20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha za kidalali hizo zinanichekeshaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Quote:

Its more comfortable to be heartbroken inside the mighty Fuga than an Altezza
 
Mwenge hadi Tegeta kwa mafuta ya 20K sio ukweli.

Labda kuwe na foleni bampa to bampa mpaka tegeta.

Ila kama barabara imenyooka, hata VX V8 haitumii mafuta ya 20,000.

Unajaza watu uoga. Cc 2500 ni gari ya kawaida sana kuiendesha.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Mi nawashangaa sana. Sahivi napush fuga VQ35DE

Honestly tunaogopa tu injini kubwa kwamba zinakula mafuta. Hii ngoma inachoma 4kmpl kwenye bampa to bampa foleni while using AC, 5-6kmpl kwenye foleni ya kawaida na 8kmpl panapokuwa hakua foleni mfano usiku. These values are based on the average fuel consumption kwenye infotainment system ya gari, na zinamatch na ninacholipia sheli.

Shockup nimenunua kwa 255jerry each 150k. Hiyo 550k sijui mwamba aliitoa wapi.

Plus ni gari international so unaweza ukaagiza spare za Infini M35 from UK au US ukafunga.
 
Wabongo tunajazana uoga na ujinga sana.

Ukiacha Rav 4 na ist hakuna gari utakayoambiwa haisumbui.
 
Ha ha ha. Mengi ni ya kweli. Japo umeongeza chumvi hapo kwenye mafuta Mwenge-Tegeta (20,000 TZS).
 
SUZUKI GRAND ESCUDO nayo V6 lakini mafuta kibaba.
 
Ha ha ha. Mengi ni ya kweli. Japo umeongeza chumvi hapo kwenye mafuta Mwenge-Tegeta (20,000 TZS).
Ukiwa na gari ya maana kabla ya nyumba hata mfuko wa summent hununui😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…