cc2500
Senior Member
- May 31, 2018
- 124
- 222
Acha mawazo mgando hayo! Maisha hayapo hvyo! Hauna tofauti na mtu anaona bora ananunue midosho ya nguo ishirini ya bukubuku kliko nguo moja ya maana ya elf20.Kutumia milion 20 kwa ajili private car si bora ninunue toyota hiace kwa siku iniingizie 60,000.
Sent using Jamii Forums mobile app