Kwakweli uzuri wa kitu upo machoni pa anayekitazama. Haka kagari huwa nakaona kama Chura tu sura haivutiii.Mwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design:
View attachment 2998241
Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na practicability.
Sasa kuanzia 2019 kuna madesigner watatu wakaambiwa waunde 2nd generation ya hii Nissan Juke. Wakaja na hii:
View attachment 2998247
View attachment 2998249
Ina muonekano Bora zaidi nje na ndani, ina nafasi ingawa ni ndogo kidogo kwa Dualis.
View attachment 2998248
Engine:
Utachagua cc 1000 i3 turbo au cc 1600 i4 ya hybrid.
View attachment 2998251
Bei:
Mjapan anataka kuanzia CIF ya $9000 na TRA wanataka kuanzia Mil 17 ushuru.
Hata Mimi aiseeee naona hivyohivyoKwakweli uzuri wa kitu upo machoni pa anayekitazama. Haka kagari huwa nakaona kama Chura tu sura haivutiii.
TrueMkuu Ile 1st generation kwenye legroom ni mtihani kwelikweli hasa Kwa MTU mrefu...Kwa barabara za Tanzania inafaa Sana hii gari
TouchéMwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design:
View attachment 2998241
Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na practicability.
Sasa kuanzia 2019 kuna madesigner watatu wakaambiwa waunde 2nd generation ya hii Nissan Juke. Wakaja na hii:
View attachment 2998247
View attachment 2998249
Ina muonekano Bora zaidi nje na ndani, ina nafasi ingawa ni ndogo kidogo kwa Dualis.
View attachment 2998248
Engine:
Utachagua cc 1000 i3 turbo au cc 1600 i4 ya hybrid.
View attachment 2998251
Bei:
Mjapan anataka kuanzia CIF ya $9000 na TRA wanataka kuanzia Mil 17 ushuru.
TouchéMkuu Ile 1st generation kwenye legroom ni mtihani kwelikweli hasa Kwa MTU mrefu...Kwa barabara za Tanzania inafaa Sana hii gari