Nissan Kuga kugoma kuwaka

Nissan Kuga kugoma kuwaka

swamila

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
176
Reaction score
81
Nina gari aina ya premio old model niliiacha nyumbani wiki moja nikaenda safari nimerudi nikawasha imegoma kuwa nikatoa betri kwenda kucharge nimerudisha betri bado imegoma msaada please
 
Hilo betry lako litakuwa limeanza kuchoka maana wiki moja tu lipo hoi, pia watu wa ku-charge usiwaamini sana maana unaweza ukawaachia betri na wasili-charge kikamilifu wanaliondoa wanamwekea mteja mwingine...ita mtu aje akubusti mkuu gari itawaka bila shida mkuu
 
gari kutokuwaka inaweza kusababishwa na matatizo mengi ila jaribu kubadilsha betri au kuboost kwa kutumia betri jingine pia harbu kutoa pipe ya fuel filter na uwangalie kam inapeleka mafuta kwenye engine piq jaribu kuadjust nozzle nadhani gari linaweza kuwaka
 
Nina gari aina ya premio old model niliiacha nyumbani wiki moja nikaenda safari nimerudi nikawasha imegoma kuwa nikatoa betri kwenda kucharge nimerudisha betri bado imegoma msaada please
Betri imekufa cell kama uliacha imeunganishwa kwenye gari inabidi ununue betri mpya
 
Back
Top Bottom