Nissan march si mbaya ktk umbo,matumizi ya mafuta nk..lakini si popular sana kama toyota raum au toyota ist japokuwa maumbo yao yafanana..tatizo ni kuwa katika soko la afrika toyota ni popular kutokana na urahisi wake katika spares na service kwa ujumla..kwa hapa dubai march ya mwaka 2004 inauzwa $1800 na usafiri mpaka dar ni $800 na ushuru wa tra ni tsh 2.7mllakini gari ndogo ya hivyo hivyo kama ist utanunua na kusafirisha kama kwa $3100 na ushuru wake utakupa 3.5ml..so najaribu kukuonuesha utofauti ata katika soko lake..spare ukipata bei inakuwa juu compare to toyota...zaidi ya hapo sijaona tatizo lingine...+971504374387 dubai