NISSAN MARCH inatatizo gan?

NISSAN MARCH inatatizo gan?

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
60
Wadau, naomba mniambie matatizo ambayo, naweza kukumbana nayo endapo nitanunua gari aina ya NISSAN MARCH, kama spares , ubovu, matumizi ya mafuta na kadhalika
 
Nissan march si mbaya ktk umbo,matumizi ya mafuta nk..lakini si popular sana kama toyota raum au toyota ist japokuwa maumbo yao yafanana..tatizo ni kuwa katika soko la afrika toyota ni popular kutokana na urahisi wake katika spares na service kwa ujumla..kwa hapa dubai march ya mwaka 2004 inauzwa $1800 na usafiri mpaka dar ni $800 na ushuru wa tra ni tsh 2.7mllakini gari ndogo ya hivyo hivyo kama ist utanunua na kusafirisha kama kwa $3100 na ushuru wake utakupa 3.5ml..so najaribu kukuonuesha utofauti ata katika soko lake..spare ukipata bei inakuwa juu compare to toyota...zaidi ya hapo sijaona tatizo lingine...+971504374387 dubai
 
Asante sana lucky sabasaba, kwa ushauri wako mzuri sana
 
Nissan March kwangu mimi siioni kama ni gari kutokana na mbwembwe zake pale inapoharibika. Ni gari ambayo endapo itaharibika na fedha zetu hizi za kudunduliza basi jua utafurahi. Ni kheri ukanunue Vitz kwanza ni popular halafu ina shape nzuri kuliko March.

Ulaji wa mafuta ni nzuri maana nyingi ni 1000cc.
 
lucky sabasaba; Je? Una Id yoyote kuhusu Daihatsu Hijet model ya mwaka 2002? Yangu ina tatizo la water pump inavuja na kama una mwongozo nakuomba Kamanda!

Nissan march si mbaya ktk umbo,matumizi ya mafuta nk..lakini si popular sana kama toyota raum au toyota ist japokuwa maumbo yao yafanana..tatizo ni kuwa katika soko la afrika toyota ni popular kutokana na urahisi wake katika spares na service kwa ujumla..kwa hapa dubai march ya mwaka 2004 inauzwa $1800 na usafiri mpaka dar ni $800 na ushuru wa tra ni tsh 2.7mllakini gari ndogo ya hivyo hivyo kama ist utanunua na kusafirisha kama kwa $3100 na ushuru wake utakupa 3.5ml..so najaribu kukuonuesha utofauti ata katika soko lake..spare ukipata bei inakuwa juu compare to toyota...zaidi ya hapo sijaona tatizo lingine...+971504374387 dubai
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom