Car4Sale Nissan Murano

mkuu unamaanisha land crueser Noah, land crueser voxy ,land crueser harrier old model au land crueser ipi mkuu maana inabidi tuweke akili pembeni tujadili kijinga zaidi.
Tusobishane sana. Mimi niko tayari kuinujua hiyo Nissan Murano kwa milioni 7
 
mkuu katika biashara kama huna hela anayotaka muuzaji ni vema ukawa open sio kwa kuanza kuiponda bei ya gari mwisho ndio useme una half price murano mil 7 ila linatolewa engine geabox na matairi unauziwa body tupu bila vioo
Tusobishane sana. Mimi niko tayari kuinujua hiyo Nissan Murano kwa milioni 7
 
Mkuu mimi nataka yenye 4WD,ya mwaka 2008 na kuendelea,na injini iwe cc 2480,milage original iwe chini ya laki moja.
Rangi Silver au Pale white,
Nipe bei.
 
Badala ya kubisha fanyeni research. Huyo jamaa anakuletea Murano kwa tzs 15.5m na anapata faida
 
mkuu unamaanisha land crueser Noah, land crueser voxy ,land crueser harrier old model au land crueser ipi mkuu maana inabidi tuweke akili pembeni tujadili kijinga zaidi.
Kwani Prado siyo land cruiser? Mbona zipo hadi za 10m? Mnabisha tu bure
 
mkuu unamaanisha land crueser Noah, land crueser voxy ,land crueser harrier old model au land crueser ipi mkuu maana inabidi tuweke akili pembeni tujadili kijinga zaidi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Prado siyo land cruiser? Mbona zipo hadi za 10m? Mnabisha tu bure
Kuna watu washajiwekea kichwani gari fulani bei fulani.....miaka inaenda bei alioweka kichwani ni ile Ile. Trust me na wanapigwa bei kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…