mavado
JF-Expert Member
- Jun 25, 2014
- 1,153
- 798
Huu ni Ushuru bado bei ya kuinunua na kuitoa pale Japan mpaka Dar es Salaam inaitwa cif) sio chini ya $3500 kwa hio muranoBadala ya kubisha fanyeni research. Huyo jamaa anakuletea Murano kwa tzs 15.5m na anapata faidaView attachment 1077744View attachment 1077745
Hapo bado hujalipia port charges, Shipping line, agency fee etc
Kama hujui kitu bora uulize na uwache kujifanya mjuaji sana.