Car4Sale Nissan Murano

Badala ya kubisha fanyeni research. Huyo jamaa anakuletea Murano kwa tzs 15.5m na anapata faidaView attachment 1077744View attachment 1077745
Huu ni Ushuru bado bei ya kuinunua na kuitoa pale Japan mpaka Dar es Salaam inaitwa cif) sio chini ya $3500 kwa hio murano
Hapo bado hujalipia port charges, Shipping line, agency fee etc
Kama hujui kitu bora uulize na uwache kujifanya mjuaji sana.
 
Pole sana. Kuna screenshot mbili, moja CIF mpaka Bongo kama 5m, nyingine ushuru hauzidi 10m. Hamna ujuaji wowote kila kitu kiko mtandaoni.
 
Pole sana. Kuna screenshot mbili, moja CIF mpaka Bongo kama 5m, nyingine ushuru hauzidi 10m. Hamna ujuaji wowote kila kitu kiko mtandaoni.
Asante sana, naona hapo umekubaliana na bei ya mwenye post, bila ya wewe kutambua,
Sasa ongezea port chargers
 
Asante sana, naona hapo umekubaliana na bei ya mwenye post, bila ya wewe kutambua,
Sasa ongezea port chargers
Kijana, kwanza naona sasa hivi umekuja kwa adabu. Nakufahamisha kwanza umeangalia tu calculator ukahisi hio $3600 ndio bei hali,siyo. Hio ni ya TRA kwamba hata ukinunua $1000 wao wana ya kwao ndio inaleta ushuru 9.m. Hayo magari sasa hivi Jp ni kuanzia $700 na kuendelea. Sasa ukilinunua $700-1000 CIF yako inakuwa around TZS 5m ukijumlisha na ushuru utapata around 15m. Mfanyabiashara anajua jinsi ya kupata kwa bei rahisi zaidi na akajitengenezea faida yake hata 500,000/- anapoteza nini na alichofanya yeye ni kutumia bundle lake tu?
Port charges,agency fees etc utalipa WEWE MWENYE GARI LIKIFIKA. Haya tuseme hizo zagazaga ongeza 600,000 sasa ukiwa na 16-17m si umepata hio Murano?
 
Mkuu labda hatukuelewana, mimi hio bei ya mtoa post nakubaliana nayo na ndio bei ya gari, ninachosema hio gari kutokana na ubora na grades za kule Japan kwa auctions, ndiyo itategemea gari itauzwa kwa cif $ngapi, maana same car same year but zinatofautiana kwa bei.
That all najaribu tuu kutoa ushauri, sio kwamba mimi najua sana.
 
Ok tuko pamoja. Ila huyu jamaa kukuletea kwa bei aliotaja itakuwa ile ya bei ya chini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…