[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]are you serious??
Unatudanganya...
Umbali wa Arusha to Dar ni wastani wa km 640 kupitia bagamoyo...chalinze ni 670 kama sikosei...
Chukua km 670 gawanya kwa masaa 3 uliyosema...
nadhani jibu ni 223.333...
Hii inamaana kwamba ili dereva atumie masaa 3 safari ya Dar to Arusha ni lazima dereva huyo aendeshe mwendo wa 223kph bila kusimama popote wala bila kupunguza mwendo.
Hata msafara wa raisi hauendi mwendo huo.
Kwa matuta yaliyopo, tochi, kusimama kuchimba dawa na kula, milima, kona na kuzingatia usalama wako na watu wengine wanaotumia barabara, Arusha to Dar masaa 7 mpaka 8 ni reasonable kabisaa.
Usiku masaa 5 mpaka 6