Nissan patrol(black panther)

Nimefuata alichosema huyo hapo juu.
 
Nimewafuatilia sana lakini nadhani hamlijui tifu la Subaru kwenye rough road
 
Utani huu, masaa 3 labda chopa ila sio gari kwa barabara hizi.
Unaweza vip kukimbia 180 kwa matuta yote hayo njian na vizuizi vya trafik?
Masaa 7 kufika arusha?

Hata mke wangu ambaye ni lena anafika kabla ya huo muda.

Huo muda ni wa kufika mbeya au mwanza.

Nilitegemea uniambie masaa 3 au 4.

Arusha karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…