RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
ndo td42 the same engine on y60 patrol.
Hahah kuna mwana anaiuza kama hio td 42 manual kwa pesa ndogo tu,nataka niifanyie makeke niifungie trailer ya 2 tonnes niingie nayo field.
Najua utaipiga madongo haina mbio hahah.
Kuna mwana kachukua Y62 V8 mwaka huu few months ago akaniomba tupige test drive na kwasababu ananiamini sana akanikabidhi Dar-Moshi jamani kwenye gari za Kijapan hio Nissan V8 ni balaa. Nilipiga ile mashine mpaka nikawa natabasamu siamini kama naendesha Japanese! Wakuu tutafute pesaThubutu ngoma iko moro imepaki inapumzika
Hiyo Kaz Kaz safari popote
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app