100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 4,766 Reaction score 16,191 May 25, 2019 #1 Nissan patrol toka U.A.E iliyopata umaarufu mitandaoni baada ya kuishinda porsche 918 iliyoizidi bugatti kwenye drag race.
Nissan patrol toka U.A.E iliyopata umaarufu mitandaoni baada ya kuishinda porsche 918 iliyoizidi bugatti kwenye drag race.
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 May 25, 2019 #2 Kuna kitu inaitwa Jeep Srt-8 nayo mziki wake sio wa kitoto.
tutafikatu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 3,327 Reaction score 4,624 May 25, 2019 #3 Kuna factors Nyingi
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 May 25, 2019 #4 Hio nissan iko modded hapo utakuta ina turbocharger inayoboost horsepower kufika hata 1000hp. Haiwezi kuwa stock ile ya horsepower 200+
Hio nissan iko modded hapo utakuta ina turbocharger inayoboost horsepower kufika hata 1000hp. Haiwezi kuwa stock ile ya horsepower 200+
K Keyser Söze JF-Expert Member Joined Mar 12, 2013 Posts 454 Reaction score 666 May 25, 2019 #5 Hiyo ni nissan - gtr ikiwa kwenye body ya patrol..[emoji23] [emoji23]
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 May 25, 2019 #6 Kuna video inaonesha hiyo nissan ilivyoongezewa maujanja!! Engine wameifanyia manuva.
msukuma fekero JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 2,285 Reaction score 2,969 May 25, 2019 #7 Sikubali aisee waseme tu wameifunga engine ya namna gani tunaweza kuelewana kidogo
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 4,766 Reaction score 16,191 May 27, 2019 Thread starter #8 Yeah kweli imefungiwa engine ya nissan -gtr na 1900 horse power.