NISSAN PATROL ILIYOITOA PORSCHE NA BUGATTI (DRAG RACE).

NISSAN PATROL ILIYOITOA PORSCHE NA BUGATTI (DRAG RACE).

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191


Nissan patrol toka U.A.E iliyopata umaarufu mitandaoni baada ya kuishinda porsche 918 iliyoizidi bugatti kwenye drag race.
 
Hio nissan iko modded hapo utakuta ina turbocharger inayoboost horsepower kufika hata 1000hp. Haiwezi kuwa stock ile ya horsepower 200+
 
Kuna video inaonesha hiyo nissan ilivyoongezewa maujanja!! Engine wameifanyia manuva.
 
Sikubali aisee waseme tu wameifunga engine ya namna gani tunaweza kuelewana kidogo
 
Yeah kweli imefungiwa engine ya nissan -gtr na 1900 horse power.
 
Back
Top Bottom