Nissan Patrol Nyeupe ya Mwaka 2008 inauzwa, Ina Engine ya TD42

Mkuuu mbona Odometer Milege imeenda sana iko 350000 KM!
 
Kwanini hizi ngoma hazikimbiagi..Yani makelele mengi ipo pale pale
 
Hilo gari ni unregistered, vipi gharama za kulisajili hapa TZ ni kiasi gani maana unawezafikiri hiyo bei ni kiduchu lakini ukiweka gharama za usajili ukashangaa.
 
Ha ha ha ha ha, acha masihara mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kuna wamiliki wa nissan patrol wengi humu na wenye experience nazo wataleta ushuhuda hapa.

mrangi ni mmoja wao amewahi tumia toleo la nyuma (Y60) kabla ya hiyo anajua shughuli yake.
Kwenye matope na mabonde sawa...tambarare ikasome upya shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…